Rais Uhuru atuma rambirambi kwa ajili ya wanajeshi 15 wa Tanzania waliouawa

hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda😀..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
Upelekwe Milembe ukafanyiwe checkup. Yawezekana una kichaa!

Long live JWTZ, the HEROES!
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda😀..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana

Elimu Elimu Elimu, kuna umuhimu wa kujielimisha majukumu ya askari mlinda amani (tena chini ya Umoja wa Mataifa), na askari aliye ndani ya vita kamili. Big difference on rules of engagement.
 
JPM yeye kwenye International Diplomacy ni ZERO..
Hawezi pata hata wazo la kutuma ujumbe wa namna hii kwa Kiongozi mwenzake ambae anaweza kupata matatizo ya namna hii..
Bingwa wa VISASI all over the World.
Bravo Uhuru Kenyatta.

brother urais ni taasisi. kama ilivyo ndoa nk.
 
Jaman hebu waasi hao watuonee huruma , kama wanataka watoe taarifa majeshi yetu yarudi
 
hehehe,acha kulialia dogo.jamaa wako Congo kwa maslahi yao,wachumia tumbo zao.kashfa zimeibuka jamaa wanapiga deal huko..wezi wa dhahabu na almasi za congo
WEWE

WEWE NI MGONJWA WA AKILI TENA SANA TU, WATANZANIA NA WOTE WAPENDA AMANI TUMEPATA AFRIKA MASHARIKI TUMEHUZUNISHWA SANA NA VIFO VYA ASKARI WETU, NI VEMA VYOMBO HUSIKA WAKAKUTAFUTA ULIPO ILI UTOE MAELEZO SAHIHI. HUO SIO UZALENDO.
 
Vizuri Pr. KENYATTA.

Hivi yule jirani pendwa hajatupatia pole hata kidogo, hili linaleta maswali mengi yenye jibu moja tu, ambalo ni Paul kagame yupo kinyume chetu watanzania.

Kaeni macho.
 
Vizuri Pr. KENYATTA.

Hivi yule jirani pendwa hajatupatia pole hata kidogo, hili linaleta maswali mengi yenye jibu moja tu, ambalo ni Paul kagame yupo kinyume chetu watanzania.

Kaeni macho.

Hivi ni yapi yako nyuma ya pazia, mbona Kagame hajatoa tamko hadi sasa, uchunguzi ufanywe kwa kina kuhusu hili tukio.
Lakini huwa najiuliza kama kweli DRC wenyewe wanaitaka hiyo amani. Liinchi lao kubwa hadi matukio mengine wanaishia kuyaskia tu maana waasi na wapiganaji wamejazana maeneo tofauti kkimakundi makundi.
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda😀..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
Tengeneza Jeshi lako lililo imara ambalo si la ovyo.
 
R.I.P brave soldiers killed in pursuit of a noble duty.

Now suppose the headlines read 15 KDF Soldiers killed in Somalia by Alshabab...what reaction could have been
expected from our now aggrieved southern neighbors?
 
hawa jamaa ni wanafik wa kutupwa
R.I.P brave soldiers killed in pursuit of a noble duty.

Now suppose the headlines read 15 KDF Soldiers killed in Somalia by Alshabab...what reaction could have been
expected from our now aggrieved southern neighbors?
 
Mwambie tunashukuru ila visa iko palepale
 
R.I.P brave soldiers killed in pursuit of a noble duty.

Now suppose the headlines read 15 KDF Soldiers killed in Somalia by Alshabab...what reaction could have been
expected from our now aggrieved southern neighbors?
Tanzania is on peaceful mission under UNSC, Kenya is on full scale war with extremist in Somalia via AMISOM. Rule of engagement are are different, Tanzania is not allowed to launch offensive mission unlike Kenya. If this was to happen to KDF solders, then we would've question KDF response and if it was strong enough to send a message or topical lele-mama. Having said that, there is more than one way to skin a cat, stay tuned.
 
This man might be amongst most intelligent people in this continent
 
Mbona hajatoa pole kwa wanajeshi wake 20 walio potential kwenye ajali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…