Rais Uhuru atumbuiza kwa lafudhi ya Kijamaica baada ya kurudi nchini

Aisee, asije akakiwasha hadharani, machozi ya mlokole naibu wake Ruto ni ya karibu karibu, huwa inangoja tu catalyst.
 
Ameenda kula kitu og kinaanza kuleta majibu nai.hongereni sana majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…