Rais Uhuru atumia ndege kukagua ujenzi wa reli ya SGR kuanzia mwanzo hadi mwisho

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
uk.jpg

President Uhuru Kenyatta meets construction workers at Mtito Andei passenger station during an impromptu inspection tour of the Standard Gauge Railway project. PHOTO | PSCU

President Uhuru Kenyatta on Monday conducted an impromptu inspection of the construction progress of the Standard Gauge Railway (SGR).

The President overflew the SGR line from Mombasa to Nairobi, stopping at Mtito Andei passenger station and Konza signal station.

President Kenyatta said the project is firmly on track and will be completed on time and on budget in June next year.

At Mtito Andei, President Kenyatta addressed residents and workers, thanking them for the efforts they are putting to get the SGR delivered on time.

Uhuru holds impromptu inspection tour of SGR
 
i ve been to that God forsaken place, dry as f$k and the poverty levels are mindboggling, folks told me how when things get tough they eat dogs!
 
Hongereni wakenya, mna katiba nzuri, rais ni rafiki kwa kila mtu hadi wapinzani. Kasoro kubwa ni ukabila, siku mkiacha na ukabila mnaweza kuwa mfano kwa East Africa.

Ukabila utapungua tu maana hamna jinsi, tatizo huwa wanasiasa, wanatafuta kura kwa misingi ya kikabila.
 
uk.jpg

President Uhuru Kenyatta meets construction workers at Mtito Andei passenger station during an impromptu inspection tour of the Standard Gauge Railway project. PHOTO | PSCU

President Uhuru Kenyatta on Monday conducted an impromptu inspection of the construction progress of the Standard Gauge Railway (SGR).

The President overflew the SGR line from Mombasa to Nairobi, stopping at Mtito Andei passenger station and Konza signal station.

President Kenyatta said the project is firmly on track and will be completed on time and on budget in June next year.

At Mtito Andei, President Kenyatta addressed residents and workers, thanking them for the efforts they are putting to get the SGR delivered on time.

Uhuru holds impromptu inspection tour of SGR

Kumbe hiyo Reli haijakamilika bado?
Nilifikiri tayari imeshaanza kazi kwa maana tangu nimeanza kusikia habari zake ni muda sasa! Hata hivyo hongera zake ni project nzuri na muhimu!
 
Ukabila utapungua tu maana hamna jinsi, tatizo huwa wanasiasa, wanatafuta kura kwa misingi ya kikabila.
Aisaee Millions of Hongera wapendwa Kenyans.... Mnaashiia kuvuka UKABILA soon !!

Huku TZ bhana Ngoma imeanza kudunda na kuvuma na UKABILA umeshachipuka mapema... ila wanageuza kisogo na kujifanya mabubu na vipofu tu.. !!! Pippo are really suffering huku !!!
msijitoe ufahamu waBongo 😛
 
Ukabila ni jitu hatari lenye vichwa vingi, haukatwi kwa upanga kiulaini, ni mapambano ya muda mrefu. Bado tupo kwenye safari, cha msingi ni kuendelea kuboresha maisha ya Wakenya halafu mengine yatakua shwari yenyewe.

Rais Uhuru ajaribu kuendelea kwa mwendo huo, aboreshe tu basi. Kama hapa kapaa kwa ndege na kupitia juu ya reli yote, yaani amefuatilia huu mradi balaa hadi unakamilika kabla ya wakati.
 
God Blessings
 
Ukabila utapungua tu maana hamna jinsi, tatizo huwa wanasiasa, wanatafuta kura kwa misingi ya kikabila.
Hata wewe mwenyewe na Wakikuyu wenzako hamuwezi kuchagua Rais ambaye sio Mkikuyu. Samoei mmepiga changa la macho 2022 mtamgeuka.
 
Kwangu mimi kupata kura yangu lazima udhihirishe mengi, hilo la ukabila nimekuambia lipo na ni ugonjwa ambao tunajaribu kuupunguza. Ni kama tu jinsi Bongo kuna udini, uchama, ukanda na pia hata ukabila kimya kimya. Ni ugonjwa wa Afrika.

Halafu huyo Samoei ni makamu wa rais, mambo ya 2022 hayapo leo na yakifika atajua mwenyewe, kama hatakua na uwezo wa kuwadhihirishia Wakenya umuhimu wake, basi ataishia huko huko. Leo hii Uhuru anafanya kazi kwa bidii maana anategemea kutafuta kura, lakini akipata kura na kuenedelea kwa muhula wa pili, anaweza akaboronga na kupoteza umaarufu na hapo itakula hata kwa huyo Samoei.
 
Ukabila ni jitu hatari lenye vichwa vingi, haukatwi kwa upanga kiulaini, ni mapambano ya muda mrefu. Bado tupo kwenye safari, cha msingi ni kuendelea kuboresha maisha ya Wakenya halafu mengine yatakua shwari yenyewe.

Rais Uhuru ajaribu kuendelea kwa mwendo huo, aboreshe tu basi. Kama hapa kapaa kwa ndege na kupitia juu ya reli yote, yaani amefuatilia huu mradi balaa hadi unakamilika kabla ya wakati.

Hongerezi sana mkuu, na Mungu abariki mipango iendelee vizuri. Kila kitu kina hatua, iko siku wananchi watagundua kwamba kumbe suala la ukabila sio tatizo kabisa ila wanasiasa wanalitumia kwa maslahi yao binafsi, na hapo ndio utakua mwanzo wa Kenya mpya. Huku kwetu mtaji mkubwa wa wanasiasa ni ujinga wa wananchi.
 
MK254, kuna sehemu Kenyatta anasema anataka kunganisha na reli inayo kwenda Moshi - unaweza kutufafanulia kidogo Kenyatta alikuwa anamanisha nini?
 
Sina uelewa wa kina kuhusu mipango inayoihusu Moshi, lakini nafahamu tunapania sana kuunga Tanzania kanda ya ziwa na kaskazini kwenye mifumo yetu ya usafiri. Maana ni soko muhimu sana hata leo pamoja na mapungufu tulionayo. Hivyo lazima hii reli ikamilike kwa wakati, rais amekomaa nayo utadhani ndio mradi wake wa mwisho.

Reli yenyewe inategemewa kutua ziwa Victoria na kuunga Mwanza.

East-Africas-US14-Billion-Standard-Gauge-Railway-in-red-Kenya-Railways-Corporation.jpg
 
Aisaee Millions of Hongera wapendwa Kenyans.... Mnaashiia kuvuka UKABILA soon !!

Huku TZ bhana Ngoma imeanza kudunda na kuvuma na UKABILA umeshachipuka mapema... ila wanageuza kisogo na kujifanya mabubu na vipofu tu.. !!! Pippo are really suffering huku !!!
msijitoe ufahamu waBongo 😛
Tanzania ukabila utauota ndugu. Njooni mjifunze acheni kujisifia tuuuu.

Hongera zenu kwa reli kukamilika
 
Mkuu ndg... Soma nyakati humu nchini, na takwimu zimethibiti kuwa kiwango cha ubaguzi wa ukabila na jinsia unakua na kupanda kilakucha kwa kiwango !!! tusijidanganye hadi kufika Kukashangaa!!
 
Back
Top Bottom