Nimekupata mkuuKumchezea mtu shere
Tueleze hiki bwana MK254 iweje mtu mgombea pekee yake anaibuka na"kura" zaidi ya waliojitokeza. 6.5 vs 7. 2 million, sijui nini bado wanapika kule Bomas..... Aisee mnatubeba ufala!!!
Huyo mama alitaka kupika numbers, maskini kapatikana na journalist flani hapo. Theft.Binafsi sina hilo jibu, japo mwenyekiti alisema awali bandiko lake kwenye Twitter lilikua makadirio tu, na kinachojitokeza sasa hivi ni uhalisia, lakini pia kuna uwezekano wa michezo ya kiaina ya kuongeza kura, mfano hai ni yule mbunge wa Murang'a mrs. Wahome alivyokua anang'ang'ania afisa wa mirejesho, nilitazama hio video huyo mama alivyokua anatokwa mipovu ikawa wazi kuna kitu alitaka kukifanya.
Kwa kifupi this thing had to be called, we can't politic forever, am damn sure there is no easier way around it, we are just a small country in Africa trying to illuminate democratically. The things we keep on yearning for will be implemented and realized by new breed of politicians but not the current crop of akina Uhuru, Ruto, Raila and Kalonzo these are remnant of the old order and they don't know any other way of doing things.
We will pay a price to get rid of them, very expensive one. Uhuru will be sworn in, then Raila will marshal his supporters into constant running battles for a long time, day by day there will be fatalities which may degenerate into civil war that can lead to genocide because ours is a country driven by tribal considerations.
But am a bit consoled by the fact that Raila has no access to Kalenjin youths like was the case in 2008, otherwise we would be talking about mass killings by now. Also Uhuru's name is still in ICC and anytime he might be dragged back, so he is exercising restraint when dealing with current situation, otherwise he would have unleashed some sort of bloodletting.
So we are a bit safe, only God knows for how long. Lakini mkiendeleza na fujo, inabidi kuhama hili liinchi maana everything has a limit.
Wewe ni lazima utetee. Hakuna election hapo mmefanya, ni udikteta na katiba yenu bora imesaidia kufanikisha huo ukora.Tatizo vyombo vya habari vina unafiki wa kiaina
Hawakuandika hotuba yote ya mwenyekiti na waliandika vipande vipande ili kuibua hisia za watu wasiodadisi kama wewe
Mwenyekiti alisema kama wanasiasa wakiendelea kutamausha zoezi basi hatohakikisha uchaguzi wa haki na huru
Mfano ni maeneo ambapo watu walizuiwa kupiga kura kwa kutishiwa vifo, ni wazi matukio kama hayo yanadhihirisha hakukua na haki maeneo kama hayo.
Wapishi wa IEBC wanapika kwa mahesabu sio muzaha,na hawatatangaza mpaka wabalance mambo yote.kazi mliyotutuma tumeimaliza.ππππππFanya hesabu kama unajua kukokotoa, waliojiandikisha ni milioni 19, waliojitokeza kupiga ni milioni saba.
Hivyo ni wazi turnout ilikua ndogo.... Maana ilikua ya upande mmoja tu, ni hesabu hata mtoto wa chekechea anaweza kukusaidia kukotoa.
Kwa mujibu wa matokeo yanayotiririka kutokea maeneo mbali mbali ya nchi, tarakimu zinaonyesha rais Uhuru ametimiza 7,263,496, idadi hii imebakia kidogo tu kufikia milioni nane alizokua nazo kwenye uchaguzi wa mwanzo.
Japo pia inaeleweka changamoto za kutotimiza ni kwamba
- Kwenye kinyang'anyriro maalum cha mwanzo, maelfu ya Wakenya walisafiri kwenda vijijni kupiga kura, lakini ni wachache walisafiri kwenye zoezi hili la marudio.
- Kuna wengi pia hawakua na hamasa ya kujitokeza kupiga kura kwa kauli kwamba mshindani alikua mmoja, hawakuona haja ya kuhangaika kwenye mafoleni.
- Maeneo yenye wafuasi wa Raila yalishuhudia uhuni wa kila aina. Vijana walifunga kabisa gatuzi nne zenye wapiga kura zaidi ya milioni
- Pia kuna maeneo kama Bungoma ambapo waliopiga kura waliamka na kukuta nyumba zao zimetiwa alama ya rangi nyekundu kama ishara kwamba wajiandae kwa mtiti ujao
Lakini pia pamoja na yote hayo, wafuasi wa Raila nje ya Nyanza walisusia kabisa na hawakupiga kura, hivyo nchi imegawanyika. Juzi Raila ameagiza wakae mkao wa mapambano na kwamba wasusie huduma zote za makampuni yenye ushirikiano wa aina yoyote na serikali.
Kwa kifupi, mapambano haya ya siasa hayataisha hivi karibuni, wananchi wa chini kama kule Kibera wajiandae kwa hali na mali maana kuna mikimbio ya kila siku hadi mmoja wa hawa mafahali wawili atakapochoka na kuiachia nchi iendelee mbele.
Kenya Elections 2017 - Daily Nation