Mbona iliwezekana juzi, kwenye hafla ya kuiombea taifa letu la Kenya. Kila mwaka huwa kuna National Prayer Breakfast na maombi, mahubiri ya kikristo, kiislamu na dini za jadi yote huwa yanafanywa kwa pamoja.
Inawezekana, forward na uchambue chambue hiyo video hapo juu uone wakenya, wakristo kwa waisilamu, wakisali pamoja na kusomewa Qur'ani na Bibilia pia.