Sorry kwa kijichanganya, hilo ni swali kuwa wenzetu wamepunguziwa bei ya umeme je hapa nchini vipi?Mkuu mbona kichwa cha uzi wako hakieleweki? Amepunguzaje umeme huku Tanzania?
Acha uongo, unit moja ya umeme Kenya ni Shs. 9 za Kenya sawa na Shs. 180 za Tanzania wakati hapa Tanzania unit moja ni zaidi ya Shs. 350!Umeme wa Tanzania ni bei rahisi sana kuliko nchi zote za afrika mashariki.
Umeme wa kenya una bei ghali sana.
Na pia wana vyanzo vichache vya umeme kulinganisha na sisi.Na wao wana ukame
Ebu tuwekee bei za umeme za Kenya sababu hapa kwetu nadhani kuna watu wananunua umeme kwa Tsh. 100 kwa unit.Acha uongo, unit moja ya umeme Kenya ni Shs. 9 za Kenya sawa na Shs. 180 za Tanzania wakati hapa Tanzania unit moja ni zaidi ya Shs. 350!
Wewe unashindwa nini kufanya utafiti huo? Nimekupa bei ya wastani ambayo watu wengi wanalipa na siyo hiyo danganya toto ya kutoza bulbs 3!Ebu tuwekee bei za umeme za Kenya sababu hapa kwetu nadhani kuna watu wananunua umeme kwa Tsh. 100 kwa unit.
Inawezekana hiyo ya Kshs. 9 wanaouziwa uko Kenya hapa kwetu Tanzania ndio tunauziwa Tshs. 100
Watapunguza vipi wakati January na genge lake wanataka Ma-generator yaanze kazi? Huoni JNHPP inasuasua. Na kikaragosi anachema bodi zote zilizokuwepo lazima zibadilishwe. Yaani kutoka kwenye NGO hadi kuongoza nchi sio bure, analipa fadhila sasa ngoja Togolani oops ...... janga la taifa, chijui amalize kuipeleka Tanzania kizimu.Katika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji.
Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza ya 15% itatekelezwa mwezi huu wa Disemba na awamu ya pili ya 15% nyingine itatekelezwa mwezi Machi mwakani.
Je viongozi wetu na tanesco wana cha kujifunza kutoka kwa jirani zetu?
Afadhali ungekaa kimya uli ufiche ujinga wakoWewe unashindwa nini kufanya utafiti huo? Nimekupa bei ya wastani ambayo watu wengi wanalipa na siyo hiyo danganya toto ya kutoza bulbs 3!
Tuangalie data za access to electricity mkuuNa pia wana vyanzo vichache vya umeme kulinganisha na sisi.
Nchi ya Hangaya wanajali mambo yao tu akina Jenister a.k.a Sugacane tycoonsKatika kusherehekea sikukuu ya Jamuhuri nchini Kenya Rais Kenyatta amepunguza bei ya umeme ili kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake na pia kusaidia viwanda na wawekezaji kupunguza gharama za uendeshaji na uzalishaji.
Kenyatta amepunguza bei hizo kwa 30% kwa awamu mbili, awamu ya kwanza ya 15% itatekelezwa mwezi huu wa Disemba na awamu ya pili ya 15% nyingine itatekelezwa mwezi Machi mwakani.
Je viongozi wetu na tanesco wana cha kujifunza kutoka kwa jirani zetu?