Rais Uhuru Kenyatta Atoa Pongezi Na Kongole Zake Kwa Mashujaa Wa Kenya Walojitwaalia Tuzo Lukuki Kwenye Berlin Marathon 2018

Rais Uhuru Kenyatta Atoa Pongezi Na Kongole Zake Kwa Mashujaa Wa Kenya Walojitwaalia Tuzo Lukuki Kwenye Berlin Marathon 2018

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
https://www.nation.co.ke/sports/ath...enyan-winners/1100-4762122-qugqyiz/index.html Captain wa Harambee Stars Victor Wanyama, Seneta wa Makueni County Mutula Kilonzo Jr., Gavana Wa Uasin Gishu County Jackson Mandago na bingwa mwenzao kwenye mbio, ambaye pia ni mbunge wa Cherangany Mheshimiwa Wesley Korir, wote wametoa Hongera zao pia. PROUD to be KENYAN!
137472158_15371077358781n.jpg
Waliowai nafasi za kwanza kwenye mbio za wanaume, na wanawake. Eliud Kipchoge(new world record holder) na Gladys Cherono(new Berlin Marathon course record holder).
137472158_15371077360161n.jpg
Bingwa Eliud Kipchoge akiwa na Amos Kipruto aliyeshika nafasi ya pili, na ya tatu, Wilson Kipsang. Kenya hoyeeee!
september-2018-berlin-kenyan-eliud-kipchoge-pleased-about-his-victory-picture-id1034214070
 
Ndio, wamepongezwa na rais wa Kenya, U.Kenyatta, ni mashujaa wa Kenya na hili ni jukwaa la Kenya News and Politics. Tulia, yataisha nitakapofungua uzi wa kuwakaribisha mashujaa wetu, watakapotua pale JKIA. 😎
mlenge huyo bwege...maumivu yanamsumbua...
 
Nani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuri
Lazima tuwapangie cha kupost hapa nyie monkeys,watanzania ndiyo ma-master hapa JF.
 
Nawashangaa hawa wenzetu wanaoleta matusi na bifu za kitoto kwenye mambo simpo kama michezo. Ubabe nyuma ya keyboard ni wa nini bana. Kama una nguvu nyingi vaa ndula ingia uwanjani. Basi.
 
Nani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuri
Muache bana, ana mambo yake tu huyo.
 
Hongereni sana majirani,,,kwenye hiyo sekta ya kukimbiza upepo kwa kweli mpo vizuri

Hivi hao jamaa kwa upande wa wanaume wametoka jamii moja?
 
Hongereni sana majirani,,,kwenye hiyo sekta ya kukimbiza upepo kwa kweli mpo vizuri

Hivi hao jamaa kwa upande wa wanaume wametoka jamii moja?
Yep, ukoo wa bonde la ufa kwa wakalenjin na wasebei wa Uganda.
 
Sasa pia huu upuuzi ni wakuufungulia thread.!!?
Kushunda major marathon kama hii unapewa kama hela kibeo. Major city marathon ziko nyingi sana duniani, zile zinajulikana sana ni berlin, Londo, Paris, New York, Chicago, ... wakenya hushinda karibia 90% ya hizo marathon ... hawa jamaa ukijumlisha pesa wanazopata ni kama $2Million kwa mwaka. Tena isitoshe ukishinda marathon tatu tofauti za hio major city marathon unapewa bonus ya $5m.
Mbali na hivyo kuna sifa ambayo nchi hupata, alafu haujui utamu wa kuona watu wote pale berlin wananyamaza na kusikia wimbo wa taifa wa kenya tena mara mbili baada ya kuangalia marathon ya wavulana na wasichana kwa masaa mawili.
Wazungu hua wanapenda kujisifu kwamba nchi zilizoendelea ndo hua zina uchumi wa ku support michezo,riadha n.k na hivyo ndo maana nchi hizo hua zinashinda medali nyingi zaidi kwa Olympics. Kwahivyo ushindi wa Olympics hua ni kama approval badge ya kwamba nchi iko developed socially. Lakini Kenya hua ni anomaly, nchi maskini lakini iko top 10 jamaa hua wanaumwa na vichwa wakijaribu ku explain kwanini Kenya ni anomaly. Thats why we take pride in winning those marathon, especially when we break the world record! Yani dunia nzima hakuna binadamu mwengine ameweza kukimbia 2 hours 1 minute 39 seconds! Kwa 42 KM
 
Back
Top Bottom