pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ndio, wamepongezwa na rais wa Kenya, U.Kenyatta, ni mashujaa wa Kenya na hili ni jukwaa la Kenya News and Politics. Tulia, yataisha nitakapofungua uzi wa kuwakaribisha mashujaa wetu, watakapotua pale JKIA. πSasa pia huu upuuzi ni wakuufungulia thread.!!?
mlenge huyo bwege...maumivu yanamsumbua...Ndio, wamepongezwa na rais wa Kenya, U.Kenyatta, ni mashujaa wa Kenya na hili ni jukwaa la Kenya News and Politics. Tulia, yataisha nitakapofungua uzi wa kuwakaribisha mashujaa wetu, watakapotua pale JKIA. π
Vp wewe stinking monkey unawashwa.......!mlenge huyo bwege...maumivu yanamsumbua...
grow up idiotVp wewe stinking monkey unawashwa.......!
Nani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuriSasa pia huu upuuzi ni wakuufungulia thread.!!?
Mbona unawashwa hivi na mambo ya Kenya si JPM aendelee kuzindua vizimba.Vp wewe stinking monkey unawashwa.......!
Lazima tuwapangie cha kupost hapa nyie monkeys,watanzania ndiyo ma-master hapa JF.Nani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuri
Hahahahahahahahahahahahahaha zero naona umerudiMbona unawashwa hivi na mambo ya Kenya si JPM aendelee kuzindua vizimba.
Muache bana, ana mambo yake tu huyo.Nani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuri
Hazijaisha hadi sasa?Huku tupo na chaguzi ndogo kwanza
Bado tunanunua wapinzani,maendeleo si kipaumbele chetu,nyie tangulieniHazijaisha hadi sasa?
πππthank you for thisNani, unakuja Kenyan section kucomplain kuhusu Kenyan news. Kama haikufurahishi, nenda kwa hizo news zenu boring. Siku nyingine usije ukatuambia nini inaweza ama haiwezi postiwa hapa. Toa akili kwa matak* na uanze kuitumia vizuri
Yep, ukoo wa bonde la ufa kwa wakalenjin na wasebei wa Uganda.Hongereni sana majirani,,,kwenye hiyo sekta ya kukimbiza upepo kwa kweli mpo vizuri
Hivi hao jamaa kwa upande wa wanaume wametoka jamii moja?
Kushunda major marathon kama hii unapewa kama hela kibeo. Major city marathon ziko nyingi sana duniani, zile zinajulikana sana ni berlin, Londo, Paris, New York, Chicago, ... wakenya hushinda karibia 90% ya hizo marathon ... hawa jamaa ukijumlisha pesa wanazopata ni kama $2Million kwa mwaka. Tena isitoshe ukishinda marathon tatu tofauti za hio major city marathon unapewa bonus ya $5m.Sasa pia huu upuuzi ni wakuufungulia thread.!!?