Rais Uhuru Kenyatta awasili Arusha kuhudhuria kongamano la marais wa EAC

Rais Uhuru Kenyatta awasili Arusha kuhudhuria kongamano la marais wa EAC

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
uk-1-e1548957488476.jpg
Rais Uhuru Kenyatta akiwahutubia wanananchi alipofunga safari ya kuelekea Arusha kupitia Namanga. Baada ya kongamano la EAC kuhairishwa mara mbili, mara ya kwanza ikiwa ni Nov. 30 2018 baada ya rais Nkurunzinza kugoma kushiriki na mara ya pili ikiwa ni Dec. 27, 2018. Hatimaye rais Uhuru Kenyatta amewasili Arusha kwa kongamano la ishirini la viongozi wa EAC, 20th EAC Head of States Summit. Baadhi ya agenda zitakazojadiliwa ni pamoja na kujuimuishwa rasmi kwa S.Sudan kwenye muungano na pia kujadili uwezekano wa Somalia kuingia kwenye EAC. Pia kusuluhisha masuala ya 'non-tarrif barriers' kati ya nchi za EAC na kufatilia progress ya 'political confredaration'. EAC Polythene Material Control Bill itajadiliwa pia pamoja na promotion ya Assembly ya magari hapa E.A. ili kupunguza imports kutoka nje. https://allafrica.com/stories/201902010936.html
 
Ana risk asiwe anatumia barabara haswa akienda tz ,hao ni wachawi wataroga magari yakwame barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Rais Uhuru Kenyatta yupo salama sana akiwa kaskazini mwa Tz na huwa wanamkaribisha kwa mbwembwe nyingi sana mabarabarani kila mara akisafiri kuenda Arachuga. Hoja ya kuunga mkono viwanda vya 'assembly' ya magari Afrika mashariki italifaidi sana taifa la Kenya. Sio siri kwamba Kenya inaongoza kwa mbali sana kwenye nyanja hiyo, ukanda huu wote wa Afrika mashariki.
 
I will take your words to heart.hilo la viwanda bila Shaka Kenya inaongoza hatuna mpinzani hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafaidika vipi ikiwa serikali yenu wenyewe haiamini magari yanayotengenezwa Kenya, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayenunua hayo MAGARI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni kelele za chura. Hivi unajua ni foleni ya aina gani ambayo huwa inatokea, kila mara msururu wa malori, pick-up na mabasi brand new yanaposafirishwa kuelekea Namanga kutoka GM Motors na 'assembly plant' za Isuzu na Foton pale Mombasa Road? Au umekomalia tu Manzese mkipiga pumba na mapimbi wenzako?
 
punguza povu,Nairobi sio sehemu salama,yaani hapo una wasiwasi kama Al shababu watakujia chumbani kwako usiku huu
Maana Nyie ni nyani ambao hamuoni kundule ,Yani wale watu ambao wanauawa dar na Mili zao kuwekwa kwenye magunyia na kutupwa sio watanzania,wale watoto ambao mnawaua na kutoa sehemu zao za Siri usalama wao upo wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana Nyie ni nyani ambao hamuoni kundule ,Yani wale watu ambao wanauawa dar na Mili zao kuwekwa kwenye magunyia na kutupwa sio watanzania,wale watoto ambao mnawaua na kutoa sehemu zao za Siri usalama wao upo wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
the URT at work. wahusika wote wameshatiwa nyavuni. na hauta sikia tena ushenzi huo.
itakuwa kama kibiti ilivyodhibitiwa.
 
Kenyatta akiwa Tanzania anakua salama kuliko akiwa Nairobi
Kuna state visit atafanya soon,we tulia hapo Ngong hills,ukisubiri Al shabab wafanye yao
Acha longo longo zako wewe, vitengo vyenu vya usalama vimechanganyikiwa kupitiliza. Tena wakati wa amani kukichafuka hawatajua tofauti kati ya mkono wao wa kulia na wa kushoto. Zaidi ya yote rais Uhuru Kenyatta huwa anaandamana na security moja ya kufa mtu na hutaona hata mmoja wao akiwa amebebana na manati.
 
Back
Top Bottom