Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kupitia mwanasheria wa serikali imeonyesha inataka kuwashitaki watu waandamizi wa serikali waliotuhumiwa kwa ufisadi.
Baada ya Naibu Jaji Mkuu kukamatwa na kupelekwa mahakamani hii imeanza kuonyesha dalili mbaya kwa vita hivyo kwani huyu Naibu Jaji Mkuu wakati wa hukumu ya uchaguzi mwaka jana pamoja na kutishwa na kujaribu kuhongwa lakini aliamua kusimamia haki katika hukumu iliyotengua ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
Mpaka sasa wale mapapa wa ufisadi Kenya kina Anne Waiguru na William Ruto hawajaguswa na Mwanasheria huyo wa serikali.
Mwanasheria Mkuu wa serikali Noordin Yussuf Haji ni mtoto wa kada mkubwa wa Jubilee ambaye alipata kuwa Waziri wa serikali ya Jubilee .