Sana...nimefanya kazi na wakenya...Tanzania tuwe makini na Wakenya Ni wajanja sana
Hofu ni ya nini?Tanzania tuwe makini na Wakenya Ni wajanja sana
Ndio zinachangia kutufelisha,uoga usio na msingiVry true!
Ni wakati sasa Tanzania tuache hizi mentalities za uoga uoga na mawazo kwamba kazi/fursa zetu zitachukuliwa..... Tuingie front tupambane kama walimwengu wengine!
In Tanzania we have everything we need to succeed and conquer East, Southern and Central Africa!
Kwa wawekezaji wa ndani serikali imefanyaje kuwapa incentives za kushindana? Habari za Nyerere na ujamaa zinatusaidia nini kwenye modern world?Sometime you have to protect mwenye nguvu kidogo until awe na uwezo wa ku compete na wenye uwezo...Nyerere aliwahi kusema huwezi muweka bondia wa Uzito wa juu na uzito wa kati on the same ring unless.
mama asipo liwekea mkazo hili Uchumi wa Tanzania utaendelea kushikiliwa na mataifa ya inje ikiwemo Kenya...na ktk hili ht takwimu zinatusuta.
Call it selfish or whatever you wana call it bt hisani inaanzia nyumbani. Otherwise tutaishia kua waajiriwa kt uchumi wa inchi yetu wenyewe..
Kwani wewe umekatazwa kuwa mjanja hadi ukawa ndezi?Tanzania tuwe makini na Wakenya Ni wajanja sana
Nimemuelewa sana Ndugu Rostam Azizi. Kenya kuna issue ya ufisadi na red tape, hilo linawafanya wawekezaji kupata ugumu katika shuguli zao. Ni bora Rais Kenyatta apate Ujumbe huu maana ataishi akilaumu marais wenzake kwa kutompa ushirikiano wakati yeye mwenyewe analea vibaka serikalini. Issue yako ndugu ya kusema wakenya wapo selfish, ni maoni yako tu. Mbona pia Tz kuna baadhi ya watu selfish ajabu. Uki generalize unakua umekosea.Sana...nimefanya kazi na wakenya...
Jamaa wapo so selfish sana even to themselves, jamaa kukugeuka kwenye deal ni dk 0 tu.
Msikilize Rostam hapa utajua why Tanzania ina wawekezaji wachache kenya ukilinganisha na wao huku kwetu...