Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mtukufu sisi wanyonge tuko kwenye tanuri. Tunaiva juu na chini, mtaani hela hakuna, mazao na biashara havinunuliwi lakini tunatakiwa kununua kitambulisho cha mmachinga shilingi 20,000.
Mtukufu, hata mtoto akiumwa kumpeleka hospitali ni shida. Unapoambiwa mtoto ana upungufu wa protini ndiyo kichwa kinazidi kuuma. Nyama, maziwa na mayai vimekua anasa katika maisha yetu baba.
Haya ni mateso, ninakutakia weekend njema baba.
Ni mimi raia mtiifu Sky Eclat