Rais ulisema wewe ni rais wa wanyonge lakini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mtukufu sisi wanyonge tuko kwenye tanuri. Tunaiva juu na chini, mtaani hela hakuna, mazao na biashara havinunuliwi lakini tunatakiwa kununua kitambulisho cha mmachinga shilingi 20,000.

Mtukufu, hata mtoto akiumwa kumpeleka hospitali ni shida. Unapoambiwa mtoto ana upungufu wa protini ndiyo kichwa kinazidi kuuma. Nyama, maziwa na mayai vimekua anasa katika maisha yetu baba.

Haya ni mateso, ninakutakia weekend njema baba.

Ni mimi raia mtiifu Sky Eclat
 
Mtukufu sisi wanyonge tuko kwenye tanuri. Tunaiva juu na chini, mtaani hela hakuna, mazao na biashara havinunuliwi lakini tunatakiwa kununua kitambulisho cha mmachinga shilingi 20,000.

Haya ni mateso
Malizia kwa kusema, Ni hilo tu kwa leo.

Kisha watakuja wale nanihii wanze kutukana sasa hivi, hawana akili ya reasoning
 
Kwa ninachokijua mimi, mtu kuitwa mnyonge ni kama dharau. Ni mtu ambaye hachangamki, hata kama ukimkosea na anajua haki yake yeye anakaa tu anaona sawa tu.
 
hivi nyege zinazofanya mpaka kuwa na uhaba wa kondomu nchini zinatoka wapi kama mwananchi kama huyu sky anadai ana maisha magumu..akimtaka raisi wa JMT ampelekee fungu la mchicha wa 100.
 
Walivyoimba..... ' wacha waisome namba' sisi tukawa tunawacheka kumbe walikuw wanamaanisha nadhani imefika wakati sasa kila mtanzania awe na uchungu na pesa anayoitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nachukia mno watanzania wanapoitwa wanyonge... Sio jina zuri kabisa.... Kule kwetu wanyonge ni jina mbadala la wajawazito

Jr[emoji769]
 
hivi nyege zinazofanya mpaka kuwa na uhaba wa kondomu nchini zinatoka wapi kama mwananchi kama huyu sky anadai ana maisha magumu..akimtaka raisi wa JMT ampelekee fungu la mchicha wa 100.
Nyegez zipo tu mkuu hata hali iwe ngumu vipi, hujawai kusikia wanajeshi wanabaka kwenye uwanja wa vita au watoto wanazaliwa kwenye kambi za wafungwa.

Behind the scene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ