Rais Volodomir Zelensky wa Ukraine akimbilia Vatican kwa Papa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
 
Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jinini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
 
Hakuna jinsi suluhu ni kurusha taulo ulingoni!
 
Kwa nini mnapenda kuandika uwongo?

Rais wa Ukraine amekuwa anatembelea nchi zote za Ulaya na America zinazoisaidia nchi yake. Italy ni nchi mojawapo inayotoa msaada mkubwa kwa Ukraine katika kupambana na nchi vamizi, ya Russia. Lakini pia kuna jitihada za chini kwa chini za Vatican kufanya usuluhishi ili vita vikome.

Hivi kwa kiongpzi wa nchi kufanya ziara kwenye nchi fulani, ni sawa na kukimbia nchi yake?
 
Bora huyu kaenda kwa Papa kuliko Yesu aliyekimbilia polisi kukwepa Ijumaa kuu Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…