Rais wa Armenia ajiuzulu, asema Katiba haimpi madaraka ya kutosha

Rais wa Armenia ajiuzulu, asema Katiba haimpi madaraka ya kutosha

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Armen Sarkissian ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini Katiba haimpi madaraka ya kutosha kushawishi matukio

Mwaka 2021 kulitokea Mvutano kati ya Rais Sarkissian na Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Nikol Pashinyan kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo kuondolewa kwa Mkuu wa Jeshi

Nafasi ya Waziri Mkuu inaonekana kuwa kubwa zaidi kuliko ile ya Rais

======

Armenian President Armen Sarkissian tendered his resignation on Sunday, saying he believes the country's constitution does not give him sufficient powers to influence events.

Sarkissian, president since 2018, was in a standoff with Prime Minister Nikol Pashinyan last year over a number of issues, including the dismissal of the head of the armed forces.

The role of prime minister is seen as more powerful than that of president.

"I have been thinking for a long time, I have decided to resign from the post of the President of the Republic after working actively for about four years," Sarkissian said in a statement published on the president's official website.

"The question may arise as to why the President failed to influence the political events that led us to the current national crisis. The reason is obvious again - the lack of appropriate tools ... - the Constitution. The roots of some of our potential problems are hidden in the current Basic Law."

At a referendum in December 2015, Armenia became a parliamentary republic, while presidential powers were significantly curtailed.

Sarkissian in his statement did not refer directly to any particular events or issues.

Armenia agreed a ceasefire with Azerbaijan last November at their border, after Russia urged them to step back from confrontation following the deadliest clash since a six-week war in 2020 when Moscow also brokered a peace deal to end the hostilities.

Prime Minister Pashinyan has since been under pressure, with regular street protests demanding he step down over the terms of the peace agreement. Under the 2020 deal brokered by Russia, Azerbaijan regained control of territory it had lost during a war in the early 1990s.

Armenia seceded from the Soviet Union in 1991 but remains dependent on Russia for aid and investment. Many Armenians accuse the government of corruption and mishandling an economy that has struggled to overcome the legacy of central planning.

Source: Reuters
 
Bila shaka rais huyo ana damu za kiafrika,huku kumejaa watu wenye tamaa za uongoz mpaka watanua misamba
 
Bila shaka rais huyo ana damu za kiafrika,huku kumejaa watu wenye tamaa za uongoz mpaka watanua misamba
Hiyo siyo tamaa tatizo miafrika kazi kulaumu na kuchangia chochote hata kama hatujui. Ingekuwa tamaa angejiuzu?

Kwenye vita ya Nagorno-Karabakh baina ya Armenia na Azerbaijan waliokuwa wanatoa maamuzi ya kivita ni Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev na Waziri Mkuu wa Armenia huyo Nikol Pashinyan. Rais wa Armenia hakuwa na mamlaka na nchi iko vitani, wakatokea mgogoro wa namna ya kuendesha vita na role ya Urusi nchini kwao. Mkuu wa majeshi alibadilishwa wakati wa vita na Rais hakuhusishwa. Bado kukawa na sintofahamu kwenye kusaini makubaliano ya kuachia baadhi ya eneo lililokuwa limetekwa na Azeri Forces, Waziri Mkuu kasaini bila kumshirikisha Rais. Wananchi wanamtaka Waziri Mkuu ajiuzuru.

Kaamua atoke, nchi yake ilishindwa vita na hakutaka maamuzi yaliyofanyika yafanyike ila hana nguvu kikatiba. Wengine kama Israel na Ethiopia ambao Waziri Mkuu ana nguvu kikatiba kuliko Rais, hawampi lawama Rais mambo yakiharibika. Hata Ujerumani hutosikia Rais analaumiwa kwa sera mbovu za Kansela. Sasa hawa Armenia, Rais hana nguvu kikatiba alafu wanataka afanye maajabu.
 
Si kwamba ana tamaa za madaraka pengine kuna mambo yana manufaa na maendeleo ya nchi yao kwa watu wao lakini PM ndio mkuu akaamua kuweka mguu.,

Yawezekana sana pengine PM ndio dikteta., Huyu rais mpaka kufikia ku-resign kwa miaka 5 aliyoongoza hana ishara ya udikteta
 
Huyu nae kilaza,
Unatakia nini katiba?
Wewe ndio raisi basi amua vile unaona inafaa
Nani wa kukupinga?
Katiba sio msahafu
ni makaratasi tu badilisha any time
(In somebody's voice)
 
Si kwamba ana tamaa za madaraka pengine kuna mambo yana manufaa na maendeleo ya nchi yao kwa watu wao lakini PM ndio mkuu akaamua kuweka mguu.,

Yawezekana sana pengine PM ndio dikteta., Huyu rais mpaka kufikia ku-resign kwa miaka 5 aliyoongoza hana ishara ya udikteta
Hiyo siyo tamaa tatizo miafrika kazi kulaumu na kuchangia chochote hata kama hatujui. Ingekuwa tamaa angejiuzu?

Kwenye vita ya Nagorno-Karabakh baina ya Armenia na Azerbaijan waliokuwa wanatoa maamuzi ya kivita ni Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev na Waziri Mkuu wa Armenia huyo Nikol Pashinyan. Rais wa Armenia hakuwa na mamlaka na nchi iko vitani, wakatokea mgogoro wa namna ya kuendesha vita na role ya Urusi nchini kwao. Mkuu wa majeshi alibadilishwa wakati wa vita na Rais hakuhusishwa. Bado kukawa na sintofahamu kwenye kusaini makubaliano ya kuachia baadhi ya eneo lililokuwa limetekwa na Azeri Forces, Waziri Mkuu kasaini bila kumshirikisha Rais. Wananchi wanamtaka Waziri Mkuu ajiuzuru.

Kaamua atoke, nchi yake ilishindwa vita na hakutaka maamuzi yaliyofanyika yafanyike ila hana nguvu kikatiba. Wengine kama Israel na Ethiopia ambao Waziri Mkuu ana nguvu kikatiba kuliko Rais, hawampi lawama Rais mambo yakiharibika. Hata Ujerumani hutosikia Rais analaumiwa kwa sera mbovu za Kansela. Sasa hawa Armenia, Rais hana nguvu kikatiba alafu wanataka afanye maajabu
 
Back
Top Bottom