JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani.
Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku vyanzo vya uvumi huo vikiwa havijulikani.
Rais Ndayishimiye amesema "Kuna watu ambao wanataka kuichafua Burundi, huko nyuma tulikuwa hivyo lakini sasa nafasi zetu zina amani."
Burundi imewahi kukutana na Matukio 10 ya Mapinduzi baadhi yakifanikiwa na mengine yakikwama.
#####
Burundi president condemns coup rumours
Burundi President Évariste Ndayishimiye has condemned rumours of a coup against him while he was away for two weeks for meetings in Cuba and at the UN General Assembly in New York.
Barely a week after the president left the country on 10 September, stories of a plot against him started circulating on social media.
The source of the rumours is not clear yet.
In his address after arriving back to the country on Sunday night, Mr Ndayishimiye blamed them on “people who have always wanted to paint a bad image” of Burundi.
Burundi has experienced more than 10 successful and failed coups.
“Back in the day we went through it, but now our hearts are calm, sleep knowing well that you will wake up and go to your work,” Mr Ndayishimiye said.
On Sunday before his arrival, the country's ministry of interior announced on X (formerly Twitter) that “no house is burning”, urging people not to care about “those rumours that distract”.