Kwaio anakuja kukagua na kuzindua miradi ya TZ?Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021.
Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jijini Dodoma.
Atatembelea na kuweka Jiwe la Msingi katika Kiwanda cha kuzalisha Mbolea ya Asili kinachojengwa Nala, Dodoma.
Faida zipo nyingi kwetu na Burundi kuwa na ushirikiano, tete a` tete huzungumzwa mengi ya ushirikiano baina ya nchi.Kwaio anakuja kukagua na kuzindua miradi ya TZ?
Nlijua wangezindua joint projects za nchi mbili, sa kiwanda cha mbolea kinamuhusu nini? au ndio kuextend ziara. Kwa wenzetu haya mambo huyaoni
Mbona walikua wanaenda Chato? Acha uzwazwaAtaenda na Zanzibar pia kwa siku 1.
Siku hizi Zanzibar na Marais wa nje wanaitambua.
Respect Kwa mamlaka aiseeHohehahe anakuja kumpongeza Hohehahe.
Ushirikiano wanazungumzia uwanjani au Ikulu? Sibora ampeleke kwenye mamiradi makubwa? unamuonesha kiwanda cha mbolea ambacho hata mbunge angekizindua?Faida zipo nyingi kwetu na Burundi kuwa na ushirikiano,tete a` tete huzungumzwa mengi ya ushirikiano baina ya nchi.
Mkuu huyu yuko TanzaniaAtaenda na Zanzibar pia kwa siku 1.
Siku hizi Zanzibar na Marais wa nje wanaitambua.
Mkuu kiwanda hiki kimejengwa na wawekezaji kutoka Burundi hivyo imeonelewa ni vema Rais wao akakizindua pia.Ushirikiano wanazungumzia uwanjani au Ikulu? Sibora ampeleke kwenye mamiradi makubwa? unamuonesha kiwanda cha mbolea ambacho hata mbunge angekizindua?
Ushirikiano wanazungumzia uwanjani au Ikulu? Sibora ampeleke kwenye mamiradi makubwa? unamuonesha kiwanda cha mbolea ambacho hata mbunge angekizindua?
Naona kapewa heshima ya kuletwa na kutumia ndege yetu ya Rais, G550 kipindi chote cha ziara na kumrudisha. Tanzania huwa ni wakarimu sana kongole kwetuIle nchi sifikirii kama hata ndege moja wanayo.
Pesa zote wananunua siraha na kulipa wasiojulikna wa Burundi.
Kote huyu akienda hutumia ndege za wenyeji, Uganda alipoenda alitumia Air Uganda.Naona kapewa heshima ya kuletwa na kutumia ndege yetu ya Rais, G550 kipindi chote cha ziara na kumrudisha. Tanzania huwa ni wakarimu sana kongole kwetu
Tanzania maana yake ni Tanganyika, akienda Zanzibar tunasema kaenda Zanzibar... yakhee we hujui kuwa Zanzibar sasa ni nchi kamili yakhee..Mkuu huyu yuko Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021.
Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jijini Dodoma.
Atatembelea na kuweka Jiwe la Msingi katika Kiwanda cha kuzalisha Mbolea ya Asili kinachojengwa Nala, Dodoma.