Rais wa CAF, Dk.Patrice Motsepe awasili Tanzania, leo Agosti 8, 2022

Rais wa CAF, Dk.Patrice Motsepe awasili Tanzania, leo Agosti 8, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
FZnUk8bXwAUN-Gu.jpg
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).
 
5imba A.K.A MAKOLOKOLO wanaenda kula kipigo kitakatifu cha mmbwa mwizi kama kawaida yao kufungwaga mbele ya Marais [emoji28]

MAKOLO guvu moya [emoji16]
 
Jambo jema sana Vikao vya CAF kufanyika Tanzania na fursa kwa Simba kupata Ugeni rasmi wa RAIS WA CAF.
 
Back
Top Bottom