Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).