Yule mwanae wa kike ataendelea kula bata hatariRais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Oktoba 27, 2025 na Baraza la Katiba
92 bado kashikilia usukani tu anataka akapindue gari kwenye korongo mpaka akimbizwe kizee kimekomaa hakitaki kutokaYah, sio poa.
Tukisema democracy Afrika tuna lazimishwa, muwe munatuelewa.
Atafute chaka la kukimbilia.Yule mwanae wa kike ataendelea kula bata hatari
Dogo alikua anawaambia wapiga kura wasimpigie kura baba yake, hahahaAtafute chaka la kukimbilia.
Haiwezekani baba mtu anapigania "Bata" liendelee kulika, alafu yeye analeta uchawi.