Rais wa chama cha wauguzi asema kuna wauguzi wameambukizwa Corona na wengine wako kwenye Karantini

Rais wa chama cha wauguzi asema kuna wauguzi wameambukizwa Corona na wengine wako kwenye Karantini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali.

Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona Alexander amesema maambukizi yapo ila suala la vifo msemaji ni Waziri Mkuu au Waziri wa Afya.

Chanzo:Clouds 360
 
Iseee...ukweli ni jambo jema sana wawakinge vizuri wahudumu hawa waliopo front line...wakipuputika tutaisha wote.
 
Clouds mnatumiwa na Mabeberu
Huyo naye Shida
 
Bwashee mwambie boss anunue PPEs. Asibane hela asubiri michango!
 
Huyo muuguzi ametumwa na beberu kusema "colona colona colona kila siku colona..mbona huko wanakotangazia wanakufa maerufu na hawatangazi.. kwa nini iwe hapa tu"
 
Kuna kampeni zinaendelea za kuchangisha vifaatiba kwa ajili ya wauguzi wetu kumbe kuna wengine wameshaambukizwa, na inawezekana kuna vifo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom