johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PPE zipo za kutosha bwashee..... Tena Made in Tanzania.Bwashee mwambie boss anunue PPEs. Asibane hela asubiri michango!
Bwashee mimi siyo msemaji!
we msikilize magufuli uangamia na familia yako. badala ya kuhangaika na kulinda watu yeye anapambana na wataalamu.
Bwana ehh Kazi kweliwe msikilize magufuli uangamia na familia yako. badala ya kuhangaika na kulinda watu yeye anapambana na wataalamu.
Bwashee unaishi nchi gani?Bwana ehh Kazi kweli
Ndomana namuliza hyo team llumba corona kmbe ipo
Hanijibu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app