GIBA KB
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 367
- 110
Rais wa chuo kikuu cha udaktari cha KCMC Moshi ndugu Telesphory Mula amesimamishwa masomo na uongozi wa chuo icho.
Sababu za yeye kusimamishwa masomo ni kupigania maslahi ya wanafunzi hasa wale wa mwaka wa kwanza MD1 ambao waliongezewa ada.
Rais aliwaandikia barua wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza kwamba walipe ada ya zamani kama wanafunzi wanaoendelea.Ikumbukwe TCU ndio inapanga ada za vyuo kupitia STUDENT UNIT COSTS ambao mwongozo huo haujatoka na sababu za kutotoka hazieleweki.
Barua iyo iliwakasirisha sana viongozi wa chuo na kusema amejipa mamlaka ambayo sio yake.Baada ya kukaa kikao cha kamati ya nidhamu,waliamua kumsimamisha masomo kwa mwaka mmoja.
Huyu alikuwa kiongozi wa chuo na kiongozi mwenzetu wa TAHLISO