Rais wa Chuo SAUT Morogoro Jordan Avunja Baraza la Mawaziri na Wabunge wa Kuteuliwa

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
3,041
Reaction score
2,422
Rais wa Serikari ya Chuo kikuu Jordan Ndugu Anangsye Yusuph amevunja Baraza la Mawaziri,leo asubuhi mbao zote za matangazo za chuo kikuu cha jordani zinaonesha hivyo.Katika tangazo hilo hakuna mahali alipoonyesha sababu za kuvunja baraza la mawaziri,isipokuwa ni kwamba ameonesha kuwa ana mamlaka kikatiba ya kufanya hivyo.

Wadadisi wa Mambo wnasema hii ni political manipulation,baada ya kuona upepo unamwendea vibaya katika uongozi wake.Jumamosi ya tarehe 10 palitakiwa pawe na kikao cha bunge ambalo lilionekana lingetoka na maamuzi ya kutisha dhidi ya serikari yake.Hivyo basi yeye aliamua kuvunja Baraza la mawaziri/makatibu wa wizara zote na wabunge wa kuteuliwa naye.

maelezo katika picha
  1. Kulia nia Yusuphu Anangsye akiapisha mawaziri mara serikari yake ilipoaanza kazi.
  2. Anayesaini ni Uchendu Clement ambaye alikuwa waziri Wa Mambo ya nje.
  3. Aliyesimama shati jeupe ni spika wa Bunge wa Jordan College.
  4. Mwenye nywele Ndefu ni Seure Laizer makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi Jordan.
NB:kaika uongozi wa ndugu Anangsye aliapoint mawaziri kwa njia ya simu,hakuna waziri hata mmoja aliyepewa barua mpaka leo hii anavunja baraza,pili leo amevunja baraza lakini hajaandika barua kwa wairi hata mmoja.
Wabunge na Mawziri wa mpaka baraza linavunjwa hawajawahi kupokea posho zao.Mbaya zaidi Bajeti ya serikari ilishindwa kupita bungeni japokuwa serikali yake inakaribia miezi minne yaani nusu ya muhula wake wa utawala.

Nitaendelea kuwapa updates.
Nawasilisha,

Ndimi Ukana Shilungo.
 
Tanzania ina Marais wengi aisee!

Halafu wewe Dogo, badala ya kusoma unapoteza muda kuposti updates za mambo ya kipuuzi!
 
hapo Jordan serikal ya wanafunzi ipo ipo tu
 
Vyuo mbuzi bhana, ona hata serkali zao za kimbuzi mbuzi tu.
 
Ndo nakiskia hki chuo leo.
 
Haaa yani hii nayo taarifa ya kuweka JF?
Haka kachuo kanaitwa Jordan University College nako kanatujazia server hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…