Rais wa CIA huondolewa na CIA

Rais wa CIA huondolewa na CIA

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hutokea Dunia nzima, CIA huweka maraisi kwa ajili ya magendo yao na pia humuondoa baada ya kukamilisha na kutomuhitaji tena, mara nyingi CIA hufanya magendo ya drugs, kutakatisha fedha mpaka uchukuaji wa rasilimali kama gold, rare earth minerals n.k.

Mfano Mobutu, Savimbi, Gadafi, Museveni, Kagame & Co. just wait and see, unavyoingia ndivyo utakavyotoka!
 
OLD C.E.O? NAONA KUNA KUNENA KWA LUGHA HAPA USIPO KUWA MAKINI HUWEZI ELEWA CHOCHOTE
 
Ni kweli CIA wana mipango yao huwafanya viongozi wengi kama kopo la chooni mission ikiiisha tupa kule.Mobutu ndo alifanywa vibaya na hakuamini kilicho mkita.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hutokea Dunia nzima, CIA huweka maraisi kwa ajili ya magendo yao na pia humuondoa baada ya kukamilisha na kutomuhitaji tena, mara nyingi CIA hufanya magendo ya drugs, kutakatisha fedha mpaka uchukuaji wa rasilimali kama gold, rare earth minerals n.k.

Mfano Mobutu, Savimbi, Gadafi, Museveni, Kagame & Co. just wait and see, unavyoingia ndivyo utakavyotoka!
Savimbi hakuwahi kuwa Rais Bali kiongozi wa waasi (war Lord), Museven kaingizwa na Nyerere sio CIA, Hapo aliyeingizwa na CIA alikuwa ni Mobutu,walimpa pesa nyingi inasemekana akaziiba,pia Mobutu alikuwa na watu wake humo CIA Yani maafisa vipenyo wake waliomuibia taarifa
Huenda na Kagame pia ni project ya CIA, but what dictators have in common ni kwamba wote watatoka madarakani kwa nguvu tu
 
Back
Top Bottom