Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema.
Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko gaza alikata Huduma zote muhimu za kijamii, hata Congo wakitaka kukomboa maeneo yao waanze na mbinu hiyo
Mbinu ya pili ni kuwa eliminate viongozi wa makundi ya kigaidi kuanzia katibu adi mkuu wao, wasipambane sana na wale wana mgambo wa dili na familia za viongozi wa makundi ayo ta kigaidi.
Na yote hayo yanaitaj ujasusi wa hali ya juu kuyakamilisha kwa kupandikiza mamluki watoa taarifa kwenye kundi ilo la M 23.
By mkulima wa kahawa Missenyi mkoani Kagera.