Rais Wa Congo na Rwanda Wakwepana

hivi wakigawana hiyo nchi kama ilivyouwa sudan, watu wakaishi kwa amani bila kuuana tena, kipi bora? na wengi watakubali kuwa wagoma au wacongo? kwa mkutano ule wa majuzi.
Hata kama nchi hiyo itagawanyika na kuzaliwa nchi nyingine mpya, na endapo kama bado kutakuwa na tatizo la kuwepo kwa DHULUMA na uvunjifu wa Haki za binadamu, janga hili la Vita na umwagaji wa damu litaendelea kuwepo huko Kivu, DRC
 
dhurma it
Hata kama nchi hiyo itagawanyika na kuzaliwa nchi nyingine mpya, na endapo kama bado kutakuwa na tatizo la kuwepo kwa DHULUMA na uvunjifu wa Haki za binadamu, janga hili la Vita na umwagaji wa damu litaendelea kuwepo huko Kivu, DRC
dhurma itatoka wapi sasa wakati ipo kwasababu watu wanataka kupata nchi yao, na walianza kupambania hizo tangu enzi za mobutu? congo ilipopata uhuru, wao pia walitaka eneo hilo liwe nchi yao, ikiwa nchi, watapigania nini tena? watapigana huko congo kwengine ila sio pale goma na kivu tena.
 
Je, unakumbuka mapigano na Vita Kati ya Rais wa Sudan ya Kusini Bw. Salva Kiir na Makamu wake wa Rais Bw. Rick Machali iliyotokea katika nchi hiyo mara tu Baada ya kujitenga kutoka kwa nchi ya Sudan ambayo ilikuwa chini ya Utawala wa Rais Hassan Helbashir? Unaikumbuka Vita hiyo na unazijua sababu za kuibuka kwa Vita hiyo?
 
Tshekedi awali alikuwa rafiki mzuri wa PK ila vigumu kujua walipishana nini.
 
hii ni tofauti na goma, wale wote ni watusi, watapigana na nani sasa, mle ndani watakachofanya tu baada ya kukaa vizuri ni kumuua huyo nanga kwa sababu sio mtusi ili utawala wote kule juu uwe wa watusi ambao watajiunga na rwanda, ni kama baadhi ya majimbo ya ukraine yalivyojiunga na kuwa part of russia.
 
Tshekedi awali alikuwa rafiki mzuri wa PK ila vigumu kujua walipishana nini.
ni ile kumwahidi mtu kwamba linchi langu hili likubwa mno, nikiwa madarakani nitakuachia tu hao m23 wachukue halafu ujiunge iwe yako. ukipata unaleta kibesi, na ndicho kilichomuua hata kabila senior nao walikuwa hivyohivyo. na si ukute sarakasi zote hizi tishekeli anaachia makusudi tu, hivi inawezekanaje mtu una jeshi kama congo halafu waasi wanatwaa eneo na wewe unatoa mimacho tu hadi sasaivi ati unasubiri usaidiwe? alitakiwa awe ameshapigana aidha amekufa au amerudisha jimbo la goma. si ukute mchezo tu tunachezewa hapa. tishekeli mwenyewe hana hata shida hao kutwaa.
 
Kwa hali ilipofikia sasa hakuna haja ya Suruhu tena, Wache vita vipigwe mshindi achukue nchi.
 
Baada ya Sudan kugawanywa amani imepatikana? Au umesahau mgogoro wa pande 2 za jeshi kule Sudan? Au vita vya Salva Kiir na Raek Machar kule Sudan Kusini?
 
Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…