MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23.
Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda, baada ya kujiuunga na AFC, na kuwa AFC/M23, ikawa kwamba nchini inaongozwa ndivyo sivyo, hivyo wanahitaji mabadiliko nchi nzima.
Mwaka huu M23 inawaweka wengi uchi wa mnyama.