MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Kuongoza nchi kwa mfumo wa Afisa mtendaji wa Kata, mwisho ni kama huu. Uongozi unahitaji akili,ujasili na kujitoa mhanga. Uongozi wa kurithishana, huku kila mmoja anataka madaraka, kwenye nchi kama ile yenye watu wana pesa zao si za mawazo, mwishoe ni kama haya, mtu hudhalilikaa.Una wekq mezani mpunga wa kuwa kamata washikaji alafu kesho unataka mazungumzo
Inafikirisha
Hata wakiendelea kugoma, itapatikana kwa mtutu wa bunduki tu. Ila ukiona hivo, jua mmoja ameshakubali kuzidiwa.Safi sana hakuna kitu kama Dialogue, tunaomba AMANI irejee kwa majirani zetu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
M23 well wisher. Binafsi nawaona wabinafsi.Kuongoza nchi kwa mfumo wa Afisa mtendaji wa Kata, mwisho ni kama huu. Uongozi unahitaji akili,ujasili na kujitoa mhanga. Uongozi wa kurithishana, huku kila mmoja anataka madaraka, kwenye nchi kama ile yenye watu wana pesa zao si za mawazo, mwishoe ni kama haya, mtu hudhalilikaa.
Hapa subiri mziki mwingine sasa, vigezo vya M23 kufikia kukaa meza moja ndo utajua alishajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
Kwa hili, bora angejieendea kwao na asirudi Afrika
Kina nani wabinafsi?M23 well wisher. Binafsi nawaona wabinafsi.
M 23Kina nani wabinafsi?
Haijawahi tokea serikali isiyo na ubinafsi. Kila mtu huvutia kwake. Kumbuka, hicho ni moja wapo wa sababu za wao kutaka kumuondoa raisM 23
wahuni tuHaijawahi tokea serikali isiyo na ubinafsi. Kila mtu huvutia kwake. Kumbuka, hicho ni moja wapo wa sababu za wao kutaka kumuondoa rais
Ilikua suala la muda tu.. huwezi tunisha misuli mbele ya mabeberu. Happ Tanzania ndio tulifanikiwa kuziacha nchi nyingi za Africa. Sisiemu wanatawala kwa akili kubwa sana kuhakikisha wakubwa hawachukizwi,View attachment 3267194
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23.
Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda, baada ya kujiuunga na AFC, na kuwa AFC/M23, ikawa kwamba nchini inaongozwa ndivyo sivyo, hivyo wanahitaji mabadiliko nchi nzima.
Mwaka huu M23 inawaweka wengi uchi wa mnyama.
Suala la muda kufanya nini mkuu?Ilikua suala la muda tu.. huwezi tunisha misuli mbele ya mabeberu. Happ Tanzania ndio tulifanikiwa kuziacha nchi nyingi za Africa. Sisiemu wanatawala kwa akili kubwa sana kuhakikisha wakubwa hawachukizwi,
Kagame aliwaambia waondoe majeshi yao wakamkazia. Ndio hapo nasema ilikua suala la muda tu kutii ombi la Kagame.Suala la muda kufanya nini mkuu?
-Kumbuka,habari tunazopeana hapa, ni chache tu, na zile ambazo tunakuwa na uhakika.
Kinachoiondoa SAMIDRC ni nini?
M23 unadhani imepark tu? Bado kazi inaendelea tena kwa kasi
Binafsi kuna wakati nawaza. Uongozi ni uongozi tu, lakini kuna maswala mengine si ya kuingia kichwa kichwa. Rais wa South Africa Alisema jeshi lake litaondoka tu nchini DRC, amani itakapopatikana.Kagame aliwaambia waondoe majeshi yao wakamkazia. Ndio hapo nasema ilikua suala la muda tu kutii ombi la Kagame.
It looks wazalendo hawako happy. Au ndio wataitwa magaidi maana wanajua one of condition is new new newSafi sana hakuna kitu kama Dialogue, tunaomba AMANI irejee kwa majirani zetu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Hivi, hata kama ni wewe, japo wao hawana mkataba wa kazi na serikali yao: Generals wanahukumiwa kifo, ambao ndo wangekuwa viongozi.It looks wazalendo hawako happy. Au ndio wataitwa magaidi maana wanajua one of condition is new new new
Mkuu mboka nayo eza wapi tizee, rdc au rwanda?Haijawahi tokea serikali isiyo na ubinafsi. Kila mtu huvutia kwake. Kumbuka, hicho ni moja wapo wa sababu za wao kutaka kumuondoa rais
m23 hata wakija bongo , wanaiteka Tz ndan ya wiki tuUna wekq mezani mpunga wa kuwa kamata washikaji alafu kesho unataka mazungumzo
Inafikirisha
Kule wanacheza movie, pale wazalendo ndio wanaharibu scriptm23 hata wakija bongo , wanaiteka Tz ndan ya wiki tu