Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino.
Kumbuka kwenye kanuni za soka mchezaji akivua jezi ni kosa na anadhibiwa kwa kadi ya njano.