Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 25, 2017 #21 Hizi habari za kutisha kwa watani zangu
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 May 25, 2017 #22 Wafungeni mbao mpande ndege...mliongoza kwa pengo la pointi nane mmeshindwa kuchukua ubingwa...
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 May 26, 2017 #23 Hivi hiyo barua ya pongezi nayo imeletwa kwa DHL kutoka FIFA?