Rais wa FIFA Gianni Infantino na Mo Dewji kuzungumza baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
Duru za habari za michezo zimeripoti kuwa baada ya ufunguzi pamoja na mechi kati timu yenye hadhi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano mbalimbali hapa Duniani Simba sports club Vs Al ahly.

Baada ya ufunguzi patakua na mazungumzo kati ya Rais wa FIFA Gianni Infantino, Rais wa CAF Patrice Motsepe pamoja na Rais wa heshma wa Simba Mohamed Ghulam Dewji.

Mtazamo ya wadau wanaona jicho la Simba limeona kuna fursa kubwa zaidi kwenye hii michuano,hasa wakizingatia ujio wa Rais wa FIFA comredi Infantino ni nafasi ya kumtumia kuipa Simba SC fursa nyingi na kubwa pamoja na mikataba mikubwa ya mabilioni kutoka kampuni kubwa za michezo Duniani kote.

Mungu ibariki Simba na Ihefu tu.
 
Nyie wanunuzi wa magoli kesho mnaenda kukinajisi kiwanja mbele ya hadhira ya mashabiki wenu!..
 
Infantino anataka kumshauri Mo Dewji amrudishe Onyango

Hakufurahi kabisa Onyango kuuzwa[emoji1787]
 
Uto lazima waseme kwamba wanapanga madili ya kuihujumu. πŸ˜€
 
Tatu awepo kwenye hayo maongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…