Rais wa FIFA: Inahitaji kuomba msamaha kutoka kwao kwa miaka elfu tatu ijayo

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
👆
Rais wa FIFA, INFATINO👇


Maachallah, hakika Qatar imeuheshimisha Uisilamu,

Pindi itakapofika nusra ya Allah na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini ya Allah makundi kwa makundi, basi Sali na umtukuze Mola wako, hakika yeye ndie anaepokea toba! Allah atuongoze, Aamiin!


Sol de Mayo

Kejeli, dharau, matusi n.k, hapana.

Moderator ,nawaomba msiufute huu uzi, tafadhalini..
 
Kumbe kombe la dunia linaweza kumuingiza mtu peponi, hata likidhaminiwa na pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…