Mkuu hapo kosa liko wapi? Naona kama utawala wa demokrasia unaimarika zaidi.Wakulaumiwa hapa ni wananchi kwa kukubali hii kutokea!
Ndio matatizo ya kusoma habari huku ukiwa na majibu yako kichwani.Wakulaumiwa hapa ni wananchi kwa kukubali hii kutokea!