Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
17 October 2024
Geneva, Switzerland 🇨🇭

KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA

View: https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI

Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko wa makundi kujitokeza.

Dunia imetekwa nyara na mitizamo kinzani ya ki Geopolitics imejitokeza.

Baraza la IPU limeshindwa kukubaliana kuhusu hali iliyopo eneo la Mashariki ya Kati.

Kamati maalum imeundwa kufuatilia hali hii iliyojichomoza.
Majadiliano moto yaliyotokea katika baraza hili la IPU ndiyo hali inayotakiwa vibrant

Nachukua nafasi hii kutangaza kuwa kikao hiki cha 149 hapa Geneva kimefungwa. Na kuwa kikao kitachofuata mwakani kitafanyika nchini Uzbekistan .

Naomba wimbo maalum wa IPU upigwe kuashiria hitimisho la kikao tukiagana, na majaliwa ya mungu tutakutana nchini Uzbekistan mwakani kwa kikao kijacho cha 150 ..

Inter-Parliamentary Union
https://www.ipu.org › event › 150th...
150th IPU Assembly and related meetings

150th IPU Assembly and related meetings, Saturday, 5 April 2025 - Wednesday, 9 April 2025, Tashkent, Uzbekistan
 
wakirudi tena ajipange wasimfikishie ya RIGGY Z
 
Hakunaga Mwaisa mzembe!
Unyama mwingi Mwaisa Ubaya Ubwela au siyo.

Tusubiri kipindi cha pili dkk 45 zako umezimaliza Mwaisa subir ngwe yao.
 
Powerful IPU president Dr Tulia Akson ni kiongozi wa level nyingine kabisa duniani.

wazungu wenye mihemko yao wametulizwa na wameingiwa baridi kabisa aise, hawaamini macho yao dhidi ya uwezo mkubwa mno wa uongozi alioonyesha kijana wa kiafrica katika masuala ya kidunia..

well done Dr. Tulia Akson
God bless you 🙏
 
Haka kamshangazi kana kingeleza kizuri namna hii

Duh nilikuwa sijui
 
Powerful IPU president Dr Tulia Akson ni kiongozi wa level nyingine kabisa duniani.

wazungu wenye mihemko yao wametulizwa na wameingiwa baridi kabisa aise, hawaamini macho yao dhidi ya uwezo mkubwa mno wa uongozi alioonyesha kijana wa kiafrica katika masuala ya kidunia..

well done Dr. Tulia Akson
God bless you 🙏
Amempita hadi Dr. Samia ?👀
 
Huyu mama kichwani yuko vizuri ni vile tu wabongo wajawa husda na chuki zisizo na msingi
Huyo Tulia ni mmoja ya viongozi wanaosimamia siasa za chuki hapa nchini. Acha avune anachokisimamia hapa nchini.
 
Powerful IPU president Dr Tulia Akson ni kiongozi wa level nyingine kabisa duniani.

wazungu wenye mihemko yao wametulizwa na wameingiwa baridi kabisa aise, hawaamini macho yao dhidi ya uwezo mkubwa mno wa uongozi alioonyesha kijana wa kiafrica katika masuala ya kidunia..

well done Dr. Tulia Akson
God bless you 🙏

..Dr.Tulia anajiamini kuliko Mama Samia.

..sidhani kama Mama Samia angeweza kuongoza kikao kizito kama hicho.
 
Back
Top Bottom