Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Bila kupoteza muda mh rais shirika la bima la taifa linatapeli wananchi kwa makusudi
Soma mfano huu!
Wanakuja wanakuambia weka bima ya elimu na hata wanadiriki kusema Kama unataka kufunga ndoa miaka mitano ijayo weka hela zako bima ya taifa
kwakuamini hili ni shirika la serikali unaweka hela zako ukiamini kabisa kwakuwa ni shirika la serikali basi wana credibility ya kuaminika
Miaka inaenda ukifika ule mwaka ambapo bima yako imeiva na mipango yako iko kwenye pipe line ya utekelezaji imewadia unawapa taarifa miezi kadhaa kabla ya bima yako kuiva cha kuudhi sasa mpk muda unafika bima imeiva na lengo lako ulilojiwekea eidha ni Ada au harusi limewadia ukiwafwata wakupe hela yako saundi zinaanza kalumekenge kakataa kwenda shule alfulela ulela esopooooo
Mh rais hili shirika ni maudhi kwa watanzania na tunadiriki kusema linatutapeli haiwezekani niwaambie na wanajua kwamba miaka mitano ijayo bima yangu inaiva na watoto wanatakiwa kwenda Shule au naolewa mwaka 2019 mwezi Fulani halafu wao wafifishe ndoto zangu
Mh rais tumbua hili shirika ni matapeli wanaitia aibu serikali yako imagine ndoto zetu za January zimeuliwa na haya matapeli ya serikali!!!