Kuna fungu huwa nje ya bajeti ndio kazi yake hilo (kama ulivyokuwa unaona magu anagawa ovyo ovyo)hilo linachukuliwa kama lilivyo hata CAG hasuhusiwi kuuliza.Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..
Hovyohovyo..
Tupeni bili..kodi....
Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??
Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
Hawa ndiyo vijana wa nchi hii, yaani kijana kama wewe ni mzigo kwa taifa... kweli ujinga ni mzigo mzito...Bavicha mmeshaachana na katiba mpya!!
Hakika hamuishiwi vituko.
ATCL hawana ndege, Ndege ya Raisi na hizo ndege mpya zote zilizonunuliwa na JPM zipo chini ya Tanzania Government Flights Agency. Kwa Ndege yoyote atakayotumia Raisi bado ni mali ya TGFA, Cha kuhoji ni gharama za matumizi kati ya Airbus A220-300 na Gulfstream G550 gharama kubwa zinakuwa wapi?Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..
Hovyohovyo..
Tupeni bili..kodi....
Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??
Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?