Rais wa Kenya 2022 ni William Samuoi Ruto

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Baada ya tafukari ya muda mrefu nimefikia hitimisho William Samuoi Ruto mziki wake hauna majibu kwa hiyo ninamtangaza rasmi atakuwa mrithi wa Rais Uhuru Muigai Kenyatta.

Akina Raia, Musalia Mudavadi na Kalonzo Musyoka watajaribu kuungana lakini watashindwa na hivyo Ruto atawakaanga mmoja baada ya mwingine.
 
Umepotelea wapi nowadays sioni post zako
 
Back
Top Bottom