Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Baada ya tafukari ya muda mrefu nimefikia hitimisho William Samuoi Ruto mziki wake hauna majibu kwa hiyo ninamtangaza rasmi atakuwa mrithi wa Rais Uhuru Muigai Kenyatta.
Akina Raia, Musalia Mudavadi na Kalonzo Musyoka watajaribu kuungana lakini watashindwa na hivyo Ruto atawakaanga mmoja baada ya mwingine.