Rais wa Korea Kusini akubali kuondoa amri ya utawala wa kijeshi!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !

Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
 
Martial law unasema ni jaribio la utayari wa jeshi unafurahisha sana.

SK ina historia mbaya sana na Martial laws toka mapinduzi ya General Park tawala za kijeshi kupitia Martial laws zimewanyoosha vilivyo SK.

Sasa unaposema kupima utayari wa jeshi kwa kutangaza Martial laws ambayo wananchi wenyewe waliandamana kupinga mpaka SK kwenda utawala wa kidemokrasia naona unaleta utani
 
Tatizo nini mbona wanaparuana?
Mkuu uyo kiongozi tatizo sio yeye tatizo kafanya mkewe sasa kwa sheria zao ni kosa kubwa japo sio sana. Kwaiyo Rais akaamua kuomba radhi kwakosa la mkewe. Sasa imepita km siku 5 ya yeye kuomba radhi kwaiyo Rais akajua yameisha kumbe Wabunge chini chini wanajipanga kumpigia kula ya kutokuwa na Iman nae . Alipojua mipango y Wabunge wake ilibidi awai kuvunja Bunge!!!! ndio ivo akasingizia et KIM ndio anasuka mipango ili yeye avuliwe kiti cha mengine mbaya zaid ktk kashfa kuna wamefungwa sasa mke ndio usingiz akqdai mkewe akuusika lkn akaomba radhi!!!!
 
Hii msg nilikuwa najibu mapema lkn usingizi ukanipitia nimekujakujua sasaivi kuwa sikutuma ujumbe. Lkn uyo Rais anasumbuliwa na kashfa inayomuusu mkewe ukiacha mengine,
 
Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !

Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
Nasubiri kuona akiondokewa yeye sasa, maana hiyo ndiyo demokrasia.

Huyu kibaraka wa USA hatoboi
 
Mkuu uyo kiongozi tatizo sio yeye tatizo kafanya mkewe sasa kwa sheria zao ni kosa kubwa japo sio sana. Kwaiyo Rais akaamua kuomba radhi kwakosa la mkewe. Sasa imepita km siku 5 ya yeye kuomba radhi kwaiyo Rais akajua yameisha kumbe Wabunge chini chini wanajipanga kumpigia kula ya kutokuwa na Iman nae . Alipojua mipango y Wabunge wake ilibidi awai kuvunja Bunge!!!! ndio ivo akasingizia et KIM ndio anasuka mipango ili yeye avuliwe kiti cha mengine mbaya zaid ktk kashfa kuna wamefungwa sasa mke ndio usingiz akqdai mkewe akuusika lkn akaomba radhi!!!!
Hii kali, kwahio mkewe anahusikaje na huo uamuzi?
 
Nasubiri kuona akiondokewa yeye sasa, maana hiyo ndiyo demokrasia.

Huyu kibaraka wa USA hatoboi
Kama unafikiri atapatikana Kiongozi wa SK ambaye siyo pro USA unajisumbua Bure. Unadhani Kuna mtu wa SK anayependa nchi Yao wawe kama nchi ya Kiduku!!!
 
Back
Top Bottom