Martial law unasema ni jaribio la utayari wa jeshi unafurahisha sana.Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
Na pia afafanue Bunge limekaaje kupiga kura ya VETO wakati lilishavunjwa?Mkuu tufafanulie vizuri hiyo kura ya Veto imezuiaje hiyo amri!
Mkuu uyo kiongozi tatizo sio yeye tatizo kafanya mkewe sasa kwa sheria zao ni kosa kubwa japo sio sana. Kwaiyo Rais akaamua kuomba radhi kwakosa la mkewe. Sasa imepita km siku 5 ya yeye kuomba radhi kwaiyo Rais akajua yameisha kumbe Wabunge chini chini wanajipanga kumpigia kula ya kutokuwa na Iman nae . Alipojua mipango y Wabunge wake ilibidi awai kuvunja Bunge!!!! ndio ivo akasingizia et KIM ndio anasuka mipango ili yeye avuliwe kiti cha mengine mbaya zaid ktk kashfa kuna wamefungwa sasa mke ndio usingiz akqdai mkewe akuusika lkn akaomba radhi!!!!Tatizo nini mbona wanaparuana?
Nasubiri kuona akiondokewa yeye sasa, maana hiyo ndiyo demokrasia.Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
Mkewe kafanyajeHii msg nilikuwa najibu mapema lkn usingizi ukanipitia nimekujakujua sasaivi kuwa sikutuma ujumbe. Lkn uyo Rais anasumbuliwa na kashfa inayomuusu mkewe ukiacha mengine,
Hii kali, kwahio mkewe anahusikaje na huo uamuzi?Mkuu uyo kiongozi tatizo sio yeye tatizo kafanya mkewe sasa kwa sheria zao ni kosa kubwa japo sio sana. Kwaiyo Rais akaamua kuomba radhi kwakosa la mkewe. Sasa imepita km siku 5 ya yeye kuomba radhi kwaiyo Rais akajua yameisha kumbe Wabunge chini chini wanajipanga kumpigia kula ya kutokuwa na Iman nae . Alipojua mipango y Wabunge wake ilibidi awai kuvunja Bunge!!!! ndio ivo akasingizia et KIM ndio anasuka mipango ili yeye avuliwe kiti cha mengine mbaya zaid ktk kashfa kuna wamefungwa sasa mke ndio usingiz akqdai mkewe akuusika lkn akaomba radhi!!!!
Hii kali, kwahio mkewe anahusikaje na huo uamuzi?
Kama unafikiri atapatikana Kiongozi wa SK ambaye siyo pro USA unajisumbua Bure. Unadhani Kuna mtu wa SK anayependa nchi Yao wawe kama nchi ya Kiduku!!!Nasubiri kuona akiondokewa yeye sasa, maana hiyo ndiyo demokrasia.
Huyu kibaraka wa USA hatoboi
JPM stands out as the most democratic president our country has ever had.Jiwe alikatisha safari yetu ya kuelekea demokrasia
Kwa hiyo kutokuwa na nchi kama ya kiduku ndo uwe chawa wa Marekani?Kama unafikiri atapatikana Kiongozi wa SK ambaye siyo pro USA unajisumbua Bure. Unadhani Kuna mtu wa SK anayependa nchi Yao wawe kama nchi ya Kiduku!!!