GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Feb 1, 2025 #21 Fundi mahiri wa ujenzi said: Kumbe wenzetu hawa. Sasa kwanini tunapambana na waswahili wenzetu? Click to expand... Wala usiamini sana hicho kitu, kwenye uwanja wa mapambano ni tofauti sana. Huo ndio ugumu ilioupata Kenya ilipotomwa mashariki ya Congo.
Fundi mahiri wa ujenzi said: Kumbe wenzetu hawa. Sasa kwanini tunapambana na waswahili wenzetu? Click to expand... Wala usiamini sana hicho kitu, kwenye uwanja wa mapambano ni tofauti sana. Huo ndio ugumu ilioupata Kenya ilipotomwa mashariki ya Congo.
mlimilwa JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,268 Reaction score 3,439 Feb 1, 2025 #22 kitakachowaangusha m23 ni kua na mafungamano na Rwanda,hii haitakubalika,msubili tu muone kitakachowakuta muda si mrefu. wangemkumbuka General Mkunda kilimkuta nini.
kitakachowaangusha m23 ni kua na mafungamano na Rwanda,hii haitakubalika,msubili tu muone kitakachowakuta muda si mrefu. wangemkumbuka General Mkunda kilimkuta nini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 1, 2025 #23 Duh kumbe lugha kiswahili