Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Hivi siku hizi wachawi hawana nguvu kabisa?Tujiandae na Rais wa kwanza mgogo kwenye nchi muda wowote na saa yoyote ile!!!!!!!!!
... na fisi zao zinazochekeleaga kuvuka barabara za lami!!!π€£ππππ π΄π΄π΄π΄π΄πππππWatani Zangu Wagogo
By Jiwe
Hutaki tuongozwe na mgogo?Hivi siku hizi wachawi hawana nguvu kabisa?
Akasema Sizikwi Dodoma... na fisi zao zinazochekeleaga kuvuka barabara za lami!!!
π
Na hii ipo mbio save dateKatika kumbukumbu zangu kwa mzaha mzaha hivi Fahari ya kusini ulitoa onyo mapema sana kwa Majaliwa ndugu usijaribu kwenda kuchukua za ubunge, muda wako umeisha.