Acha kutumia makalio kufikiri weka ushahidi wako hapa!!Wewe uwajui Lebanon!!
Lkn jana IDF imeuwa wanajeshi wa Lebanon 11 weka neno apo??
Hata Israel haina ugomvi na raia wa Lebanon wala haidai ardhi ya Lebanon kwa ujumla Lebanon ni rafiki wa Israel Tatizo hapo ni Magaidi ya Hezbollah na Bwana wao Iran tu basi!!!Huyo ni kibaraka wa USA na wa Lebanon hawamtaki we uliwahi kuona ka revenge au akilalamika kuhusu Israel au America
Aisee waswahili yaani ni wavumbuzi mno wa mawazo ya watuSERIKALI ya Lebanon lazima kwenye MEDIA waonekane wanaipinga Hezbollah!!!!!!.
ili SERIKALI yake iendelee kupokea Misaada mbali mbali inayotumika kwenye kuendesha SERIKALI yake!!