Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
... wanataka tuwaachie ziwa lote na fukwe zake, kwahiyo wanaona M23 ni wenzao kimtizamo!Mwanajeshi kufia vitani kawaida,hao wanyasa hawana akili
🇹🇿 na South Africa ndio wamebakia na kiherehere Bora South wao wanaiba Madini sisi tunafanya nini Cha maana? Warudi tuu ,Congo wapambanie mambo Yao.Wanajeshi wa Malawi, waliokuwa mashariki mwa DRC, kupitia SADEC, leo wamerudishwa nchini kwao.
Ni katika jitihada za kuhakikisha kusitisha mapigano kati ya serikali na M23 yanafikiwa kwa uhuru. Kuondoka kwao, kutaihakikishia M23 kuwa serikali ina nia ya kuleta amani ya kudumu.
=
BLANTYRE (Reuters) - Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameagiza vikosi vya ulinzi kuanza maandalizi ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumatano.
Wanajeshi wa Malawi ni sehemu ya kikosi cha wanajeshi kutoka jumuiya ya kanda ya Kusini mwa Afrika waliotumwa Kongo kusaidia kukabiliana na waasi wenye silaha. Jumuiya hiyo iliongeza muda wa operesheni hiyo mwishoni mwa mwaka jana.
"Rais Chakwera ameagiza kamanda wa MDF (Jeshi la Ulinzi la Malawi) kuanza maandalizi ya kuwaondoa wanajeshi wa Malawi... ili kuheshimu tangazo la usitishaji mapigano lililotolewa na pande zinazozozana huko na kutoa nafasi kwa mazungumzo yao yaliyopangwa kuelekea amani ya kudumu," ilisema taarifa hiyo.
Source: U.S.News
Hii ahadi kumbe ipo ?Nini itakuwa future ya ahadi ya nchi za SADC kwamba mwanachama aliyevamiwa atasaidiwa kiulinzi na wanachama wenzake?
Siyo uogq, jiulize Malawi wana maslahi gani na huo mgogoro hadi wakapigane vita?Uoga tu
Kabla ya mimi kujiuliza peke yangu tujiulize wote.Siyo uogq, jiulize Malawi wana maslahi gani na huo mgogoro hadi wakapigane vita?
Hali kadhalika Tanzania, jiulize zaidi ya sifa na kutafuta uadui nini maslahi yetu kwenye vita ya Congo?
Ule mgogoro wa maslahi, Africa kusini ana ujirani gani na Congo? Kuna makampuni makubwa ya SA yanapora madini Congo.Kabla ya mimi kujiuliza peke yangu tujiulize wote.
1. Malawi walifikaje Congo?
2. Kama jirani yako hana usalama elewa hata wewe utakuwa huna, utapokea wakimbizi , uchumi kuyumba kumbuka hawa kuna vitu wanapata tokea kwako
3. Ubinadamu. Huwezi kuina mtu anakatwa kichwa au watu wanaumizana na umekaa tu kwa moyo wa furaha. Utakuwa hauko sawa kiakili
Nakubaliana na hilo na mengine zaidi ya hilo yapoUle mgogoro wa maslahi, Africa kusini ana ujirani gani na Congo? Kuna makampuni makubwa ya SA yanapora madini Congo.
Hii ahadi kumbe ipo ?