Nje ya Uzi.Tunashuhudia hapa Al jazeera mazishi ya Kamanda Saleh wa Hamas na Wasaidizi wake wawili
Wasaidizi ni 6 banaTunashuhudia hapa Al jazeera mazishi ya Kamanda Saleh wa Hamas na Wasaidizi wake wawili
Leo tena wapiganaji 6 wa Hezbollah wamepelekwa kwa AllahJohn Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel.
Mengine jionee mwenyewe:
View attachment 2861726
Hamas siyo mtu fulani, hamas ni fiktra (ideology), sasa tumia mambomu yote ya dunia nzima kuimaliza hiyo fikra kama utaweza.Tunashuhudia hapa Al jazeera mazishi ya Kamanda Saleh wa Hamas na Wasaidizi wake wawili
Kwanza nafahamu hujaisikiliza video clip, lugha inakupiga chenga na haufahamu ufanye nini kutumia simu yako ikutafsirie.Kuna kipindi huwa namuonea huruma Sana mtoa mada
Al Queda iko wapi akiona adui anakusifia jua tayari anaplan BJohn Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel.
Mengine jionee mwenyewe:
View attachment 2861726
Wewe ndio unabishana 🐼Hamas siyo mtu fulani, hamas ni fiktra (ideology), sasa tumia mambomu yote ya dunia nzima kuimaliza hiyo fikra kama utaweza.
Hivi mmeisikiliza hiyo clip ya kutokea jumba jeupe au lugha inawapiga chenga mnakuja kubishan kijinga tu.
Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la White House John Kirby anasema Hamas "bado ina mkao wa nguvu ndani ya Gaza, lakini lengo la Israeli kushinda kundi la kigaidi bado linafikiwa.">>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ungechanganya na za kwako usiishie za kuambiwa tu ukaaminiJohn Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel.
Mengine jionee mwenyewe:
View attachment 2861726
Leo tena wapiganaji 6 wa Hezbollah wamepelekwa kwa Allah
hapo si kwamba HAMAS imeisha kid...hao viongozi walianza kufa 2 decades ago,lkn bado wahuni wanakinukishaTunashuhudia hapa Al jazeera mazishi ya Kamanda Saleh wa Hamas na Wasaidizi wake wawili
Tatizo lugha, wanakurupuka bila hata kusikiliza clipHamas siyo mtu fulani, hamas ni fiktra (ideology), sasa tumia mambomu yote ya dunia nzima kuimaliza hiyo fikra kama utaweza.
Hivi mmeisikiliza hiyo clip ya kutokea jumba jeupe au lugha inawapiga chenga mnakuja kubishan kijinga tu.
Mambo ya kinyama na kishenzi wanayofanyiwa Wapalestina ni kheri wapigane mpaka kufa kuliko kuishi kwa mateso na manyanyaso yasiyo na mwisho.Ungechanganya na za kwako usiishie za kuambiwa tu ukaamini
Inatangazwa hivyo ili waendelee kuuwawa kwa wingi huku akitafutwa mjinga mmoja ajichanganye kuingilia!
Si kweli kwamba Hamasi iliyoivamia Israel na mpaka hivi leo bado iko na nguvu kama hiyo, Hamasi imetawanyishwa, viongozi wake karibu wote wamekimbia Hapo wako kwenye mataifa mengine, lakini kwa uwingi wao wameuwawa
Endelea kuamini mazungumzo ya huyo mzungu, unapaswa uyageuze hayo maneno yawe kinyume chake,
Kuna ka nchi hadi kavimbe kichwa ili kashughurikiwe kisawasawa, bila ya hivo, bado tutaendelea kusikia hivyohivyo kutoka kwa USA na ama Israel wakiwasifu hamasi kuwa inajuwa kulenga, inamaguvu sana, wakati huo huo Palestine ikisambaratishwa
Tumia ukubwa wako kutoamini mazungumzo ya kitoto mkuu