Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

Possible watu hawataki vita ya Ukraine iishe kwakua wanauza silaha kwa wingi na kingine wanataka malighafi ya dunia Russia ikiwepo so anapambana na watu wake wa ndani pia tena ndio wanaowafanya viongozi wa EU kua vigeugeu
 
Yeah si unajua Putin alishapitia vitengo hatari, na ana uzoefu wa kutosha kwenye maswala hayo. Hivyo alipoona kubwa jinga limejaa kwenye 18 ya mfumo wake akafanya kweli.
Hata hivyo kwenye medani hizo Trampa aka kidampa ni mwepesi sana kwa the former KGB officer, Vladmia Putin.

Niliona ile clip wakt wanasalimiana et Tramp anajidai kumvuta kwa nguvu nyingi sana Putin tena mbele ya vyombo vya habari

Nikasema inawezekana huyu hamjui vizuri huyo mwamba ni nani
 
Kwa ku Kwa kujitungia tu vistori uchwara hamjambo ww ndo unae fahama kua Putin alitaka kuuliwa na trump kuliko fsb/kgb??
Tukisema akili zenu wavaa vipedo ni kama kisoda mna mind..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…