Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Halafu jamaa anaongea kwa kujiamini kama anaongea pointi kabsa kumbe ni utumbo mpana mtupuKwa ku
Kwa kujitungia tu vistori uchwara hamjambo ww ndo unae fahama kua Putin alitaka kuuliwa na trump kuliko fsb/kgb??
Tukisema akili zenu wavaa vipedo ni kama kisoda mna mind..
Shangaa Kuna zuzu Moja lika Tokea na kumuamini 100% na kuonyesha kukubaliana na ilo jambo utazani wao ni informers wa kgbHalafu jamaa anaongea kwa kujiamini kama anaongea pointi kabsa kumbe ni utumbo mpana mtupu
Hao huko siyo huku kwenu, anaugua mafua tu wanasema ,alipatwa na korona tu asubuhi matangazo itakuwa kifo!Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
View attachment 3458605
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida
View attachment 3458607
Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"
Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?
View attachment 3458606
Stress za maisha zitakuja kukumaliza.Kwa ku
Kwa kujitungia tu vistori uchwara hamjambo ww ndo unae fahama kua Putin alitaka kuuliwa na trump kuliko fsb/kgb??
Tukisema akili zenu wavaa vipedo ni kama kisoda mna mind..
Yes hizo ni aina ya pigment zina matumizi mengi ila kwa watu wa maabara wanatumia kustain glycogen. Mwanzilishi wake aliitwa best ndio maana ikaitwa best carmine.Unajiita "Carmine?" unajua maana yake?
Kwahiyo ishu za Alaska tena za watu smart kabisa umeaminishwa na mswahili aliyeko Ikwiriri nawe ukaamini kirahisi kabisa!? Ni ajabu!Mkuu hivi kumbe ndio alikuwa na dhamira hiyo 👆???
Ndomana huwa nawadiss sana Wamarekani aisee.
Simpsons ni matapeli
Alishanipigia kabla hajapotea!katakua kangu hako!pole Yao,
Haka kademu kake kayahudi itakuwaje