Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Trump sio Jiwe bhanaWakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
View attachment 3458605
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida
View attachment 3458607
Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"
Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?
View attachment 3458606
Wanamuombea afe lakini hatakufa kabla ya wakati wake. Mungu amemuweka kwenye nafasi hiyo kwa makusudi maalum.Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
View attachment 3458605
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida
View attachment 3458607
Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"
Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?
View attachment 3458606
Wakuu

Naam yule Mzee ndio michezo yakeDeep state wakiongozwa na Obama ndio kazi zao hizi ,Obama kama Kikwete
Clone liko linatengenezwa.Trump hata akifa bado atamalizia kipindi chake cha urais. Kwa wenzetu kutengeneza "clone" ni sekunde utashangaa mtu anaendelea kuonekana kumbe alishakufa zamani.
Wapo wa kuwamaliza ila sio Putin, hayo mengine ni mtazamo wako.Huyo Kenge acha afe tu. Maana hana faida katika dunia.
Ameshafanya dhambi nyingi kuliko mema.
Waswahili wanasema "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI.
Alikuwa na lengo la kummaliza Putin kule Alaska, sasa mwisho wa siku kajikuta kamalizwa yeye.
Rest in Hell Kenge wewe..
Imagine how the world population will be if only kutokuonekana siku mbili unahesabiwa tayari roho imeacha mwili!siku mbili tu mtu kutokuonekana awe amefariki?
wonders will never end
in this world
yaani kutokuonekana siku mbili, ndio iwe mauti? Let us be serious bro
Si kawaida yake kuto kuonekanasiku mbili tu mtu kutokuonekana awe amefariki?
wonders will never end
in this world
yaani kutokuonekana siku mbili, ndio iwe mauti? Let us be serious bro
sio kawaida, sawa. Swali: kutokuonekana ndio kufa?Si kawaida yake kuto kuonekana
Hadharani
Laana ya kuua wakristo na waislamu Gaza watoto na wazee na wanawake kuwaua.Sasa itakuaje mji wa Gaza ambao alisema atawaamisha kisha kujenga Macasino yeye Netanyahu.