macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.kwangu siyo ishu, ishu ingekuwa labda kama raisi wenu wa tanzagiza angealikwa namibia for an official visit hapo kungekuwa na hoja, lkn hii siyo ishu usisahau pia kuna lobbying ya hali ya juu inaendelea (rejea kombo akitembea na picha ya Nyerere USA ingawaje muslims wanamchukia Nyerere hata hivyo lkn wanajua kwamba it works, typical muslim behavior siyo wajinga kiivyo) nyuma ya pazia.
wanatumia resources za serikali kufanikisha mambo kama hayo, wanatumia manipulations ya sijui "ukombozi" wa namibia ukichukulia kulikuwa na kambi ya wanamibia tanzagiza na wengi wao waliishi hapo, hivyo ni ngumu kukataa mwaliko kama huo, isitoshe anafanya transit tu akitokea ghana, kwangu siyo ishu na haisemi chochote mpaka labda yeye akialikwa namibia officially ...
Mchuma janga hula na kwaoNchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.
Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa nchini 19 - 22 Juni, 2026
Nchi nyingi za Afrika hawana rekodi ya kujali haki za binadamu. Hili wala halishangazi.
Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.
Tukuyu ipi wanakolima mpunga? Umekaririshwa vibaya na ikikupendeza uwe unafanya utalii wa ndani ili kujiongezea ufahamu wa nchi yako.Yupo tukuyu anaanika mpunga,juzi wamepandishiwa ushuru wa gunia toka buku mpaka buku mbili akalalamika
Ulimwengu wa utafutaji kukopa ni kawaida tuckambwiga nyie. Anadaiwa america itakuwa afrika?!!!Deni la taifa ni himilivu ??? Makofi kwake tafadhali. Na hii ni kwa majuha wote wa ccm akiwemo yy tu
Kigagula kazini
Usiku wa manane
Yupo tukuyu anaanika mpunga,juzi wamepandishiwa ushuru wa gunia toka buku mpaka buku mbili akalalamika
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.😭😭😭Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.
Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa nchini 19 - 22 Juni, 2026
Nuclear Power.Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.
Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa nchini 19 - 22 Juni, 2026
Shida nini kwani mdau?Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.
Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa nchini 19 - 22 Juni, 2026
Duh kumbe mtu mzima hawezi hata kutembea?Huyu mama aliishi sana Tanzania.
Kwao amefanikiwa kulipa Madeni yote ya selikali yake IMF
ya Namibia ililipa Eurobond ya dola za Marekani milioni 750 (US$750 million), sawa na takribani dola za Namibia bilioni 13.5–14.3 (N$13.5–14.3 billion).
Hili lilikuwa moja ya malipo makubwa zaidi ya deni katika historia ya nchi hiyo.
Bloomberg +1
Pia mwaka 2026 Namibia ilikamilisha kulipa deni lake lililokuwa limebaki kwa International Monetary Fund la takribani US$23.9 milioni, na kufanya salio la deni kwa IMF kuwa sifuri.
Huyu mama amekulia Magomeni. Anatembelea Tanzania, nchi ambayo ina nafasi kubwa kwake. Akiwa hapa ataweza kumpa ushauri mwenyeji wake.Huyu mama hatumuhitaji, akae kwao huko. Anatafuta nini Tanzania?
Shetani hana rafikiShida nini kwani mdau?
Hamtaki hata Afrika kwa Afrika tuhusiane?
Kumbuka nchi za SADC hawautambui uchafuzi wa 29 Oct, na Agenda za kuja kwake hazipo wazi, msufuate za Msigwa, zinaupotoshaji, mkubwa. Hivyo inawezekana ni mikakati WA SADC kama ilivyo WA US na wa EU , kuirekebisha mambo.Huyu mama hatumuhitaji, akae kwao huko. Anatafuta nini Tanzania?
Ndugu, naona uko nyuma ya wakati sana..Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.
Vikongwe wawili wamekutana ikuluShetani hana rafiki